Yoso JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 954 Reaction score 1,417 Nov 24, 2010 #1 Ni vyumba viwili na sebule katikati pia kuna uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo chanika msumbiji karibu na secondary ya kimwani. bei ni maelewano piga namba zifuatazo 0787747425 0712275274 0766908731
Ni vyumba viwili na sebule katikati pia kuna uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo chanika msumbiji karibu na secondary ya kimwani. bei ni maelewano piga namba zifuatazo 0787747425 0712275274 0766908731
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Nov 24, 2010 #2 Sema bei bwana maelewano ndio bei gani?
Yoso JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 954 Reaction score 1,417 Nov 24, 2010 Thread starter #3 ni kama million 7 tunaweza tukaongea zaidi