Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Yoso

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
954
Reaction score
1,417
Ni vyumba viwili na sebule katikati pia kuna uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo chanika msumbiji karibu na secondary ya kimwani. bei ni maelewano piga namba zifuatazo
0787747425
0712275274
0766908731
 
Sema bei bwana maelewano ndio bei gani?
 
ni kama million 7 tunaweza tukaongea zaidi
 
Back
Top Bottom