maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 Aug 9, 2016 #2 Picha mkuu ndo kila kitu
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 Aug 9, 2016 #3 Ukubwa wa kiwanja chake pamoja na eneo la nyumba ni sq m ngapi mkuu?
britanicca Platinum Member Joined May 20, 2015 Posts 18,261 Reaction score 48,864 Aug 9, 2016 #5 Tungi sehem gan
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 Aug 9, 2016 #6 shalujeff said: Inaazia 90 makubaliano yapo ipo katika eneo zuri sana mjini kabisa nyumba na shule zipo hapo hapo Click to expand... Bei 90mil. kwa hiyo kitu? labda 90 ya kuandika chini.
shalujeff said: Inaazia 90 makubaliano yapo ipo katika eneo zuri sana mjini kabisa nyumba na shule zipo hapo hapo Click to expand... Bei 90mil. kwa hiyo kitu? labda 90 ya kuandika chini.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,196 Reaction score 3,901 Aug 9, 2016 #7 Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali.
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 Aug 9, 2016 #8 maringeni said: Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali. Click to expand... Mkuu ongezea maelezo yakutosha plus picha.
maringeni said: Njoo nikupe vyumba 6 maramba 2 kwa m 30 iliyoko kwenye hiyo hali. Click to expand... Mkuu ongezea maelezo yakutosha plus picha.