Mkulima Mwerevu
New Member
- Jan 27, 2021
- 1
- 0
Habari!
Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa:
1. Sebule kubwa (6M × 8M)
2. Dining room kubwa (4M x 4M)
3. Jiko kubwa (3M x 5M)
4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master
5. Public toilet
6. Stoo kubwa.
7. Kuna miembe na miti ya matunda mengine
Umbali: Km 11 kutoka round about ya Goba njia nne (Tazama Google Map Screenshort iliyoambatanishwa hapo chini)
Eneo ni Hekari Moja na nusu (Hapajapimwa)
Umeme umefika, ni kuvuta tu!
Gari mpaka kwenye nyumba inafika!
Bei 72 Million pesa za kitanzania (72,000,000 TZS)
Kwa mawasiliano piga +255768639604