Nyumba kwa bei rahisi

Nyumba kwa bei rahisi

chofachogenda

Senior Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
107
Reaction score
199
Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu.

Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu kutoka mbezi stand.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
 
weka picha mwanangu biashara si matangazo tu bali namna uyawekavyo
 
Back
Top Bottom