Nyumba mbili, kiwanja sqm. 3,000, tshs.110 milioni,kiluvya kwa komba kinauzwa

Mheshimiwa dalali, naona nyumba unazouza zote ni mwendo wa 110 tu.

Wewe ndio unawapangia bei wamiliki wa nyumba ama ni coincidence tu?
 
Una uhakika au ndio umeanza UMBEA rasmi.
 
Back
Top Bottom