Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Wadau wa Sheria naomba mawazo yenu:
Ninamiliki kiwanja chenye hati na kimepimwa, ndani ya hicho kiwanja nilikuwa nimejenga nyumba moja na baadaye nikaona kuna nafasi ya kutosha nikaongeza nyumba ya pili hapohapo.
Sasa nataka niuze nyumba mojawapo kati ya hizo, je itawezekana kuzitenganisha ili mteja wangu awe na plot na nyumba yake nami nibaki na plot na nyumba yangu?
Je inaruhusiwa kisheria kutenganisha plot isije leta taabu baadaye, kwani ziko kwenye kiwanja kimoja.