House4Sale Nyumba mbili zinauzwa

House4Sale Nyumba mbili zinauzwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
105
Karibuni ndugu jamaa na marafiki,nauza Nyumba mbili maeneo ya MBWENI Jirani na SHULE YA WATURUKI,iliyo na Fensi tayari ni 200M na hiyo ambayo haina Fensi ni 280M
Napatikana kwa 0715011022

1473098024793.jpg

1473098066632.jpg
 
Karibuni ndugu jamaa na marafiki,nauza Nyumba mbili maeneo ya MBWENI Jirani na SHULE YA WATURUKI,iliyo na Fensi tayari ni 200M na hiyo ambayo haina Fensi ni 280M
Napatikana kwa 0715011022

Uko Srious kweli...200M?? tena jengo halijaisha.. Labda Taja size ya Uwanja
 
Hiyo iliyokwisha na Fensi ndio 200M ipo imekamilika ina UMEME pia MAJI.......
 
200M pamoja na kiwanja ukubwa 4900msq...hapo utanipata...
 
Maongezi nafas ipo.....hiyo ni bei harisi kulingana na eneo pia gharama za ujenzi mpaka hapo zilipofikia
 
Utaratibu wa malipo unakuwaje ?mkopo au pesa taslim ? maana hapo ni parefu
 
Kweli pesa zetu hazina thamni. Hv nikiuliza umefikaje hio 200M unaweza nijibu?
 
Utaratibu wa malipo unakuwaje ?mkopo au pesa taslim ? maana hapo ni parefu

Mkuu huyu itakuwa amelenga walioficha pesa kama anko magu alivyosema.
[emoji12]
[emoji12]
 
Nikijenga mwenyewe cdhan kama naweza fika million 200
 
unaumwa ww nyumba gani iyo yakuuza 200m iyo pesa c bora nijenge gholofa
 
280m kwa nyumba hata haijaisha? Pheeew! Au ni thamani ya kiwanja ndio imefanya nyumba iwe ghali hivyo?

Kwa faida ya serious buyers;
..Kuna hati miliki ya kiwanja?
..Eneo limepimwa?

280m ni kwa matajiri aisee...Dah!!
 
Back
Top Bottom