msonganzila
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 204
- 105
- Thread starter
- #21
Hati ipo....280m kwa nyumba hata haijaisha? Pheeew! Au ni thamani ya kiwanja ndio imefanya nyumba iwe ghali hivyo?
Kwa faida ya serious buyers;
..Kuna hati miliki ya kiwanja?
..Eneo limepimwa?
280m ni kwa matajiri aisee...Dah!!
Eneo pia garama yake kubwa kwa uwanja kama