House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari wanajamii

[emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami
[emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters
[emoji213]Public Toilet moja
[emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko
[emoji213]Parking gari tatu ndogo zinakaa
[emoji213]Nyumba ina fence
[emoji213]Umeme na maji tayari

Bei ni Tsh. Mil. 65 ila maongezi yapo
Kwa mawasiliano 0762 987034
Karibuni sanna

IMG_1889.jpg

IMG_1889.jpg
 
Habari Jamii Forums,
  • Nauza nyumba yangu mwenyewe iliopo Kigamboni Mikwambe.
  • Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami.
  • Nyumba ya vyumba vitatu wiwili ni masters.
  • Ina jiko public toilet dinning na sebule pamoja na fance ya kulaza gari tatu.
  • Ukubwa wa eneo ni sqm 340.
  • Document ni serikali za mtaa.
  • Itapendeza kuahirikisha uongozi wa jamii forum ili kuepuka utapeli.
0762987034

Asanteni sana.

IMG_1889.jpg

IMG_1900.jpg

IMG_1895.jpg

IMG_1902.jpg

IMG_1899.jpg

IMG_1890.jpg
 
Hakuna mtu anaweza kununua hiyo nyumba kwa bei ya mil 700 kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom