mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Na mie nina kiwanja cha hivyo Dodoma kinanisumbua nataka nikiuze documents hazijakamilika. Kila la heri nyumba nzuri sana.Maeneo haya walipima ila ndio wale waliokula helq zetu wakakimbia hawakumqliza kazi