Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Wewe ni dalali au mwenye nyumba
kiwanja kina ukubwa gani?
Haupunguzi hata kidogo
Hakuna mtu anaweza kununua hiyo nyumba kwa bei ya mil 700 kama ulivyosema
Hii bei umeipata wapi mie nimeona 60mHakuna mtu anaweza kununua hiyo nyumba kwa bei ya mil 700 kama ulivyosema
Hiyo bei umeipata wapi? Yeye kasema mil 60.Hakuna mtu anaweza kununua hiyo nyumba kwa bei ya mil 700 kama ulivyosema
Hiyo bei umeipata wapi? Yeye kasema mil 60.
Nyumba Kali. Hongera sana. Unaposema document za Serikali ya mtaa ina maana kiwanja hakijapimwa?Habari wa Jamii forum
Dah tatizo nini mkuu benki au?
Nyumba Kali. Hongera Sana. Unaposema document za Serikali ya mtaa ina maana kiwanja hakijapimwa?