House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

Maeneo haya walipima ila ndio wale waliokula helq zetu wakakimbia hawakumqliza kazi
Na mie nina kiwanja cha hivyo Dodoma kinanisumbua nataka nikiuze documents hazijakamilika. Kila la heri nyumba nzuri sana.
 
Mkuu nijuavyo mimi Mikwambe ipo Temeke,

Naomba nisahihishe kama nimekosea.
 
Kabla ya kuuza mali zetu hasa nyumba na kiwanja tujitahidini kupata hati halali kwanza TOKA wizara ya ardhi ,siku hizi matapeli wengi sana,nyumba/kiwanja kiMoja kinauzwa mara mbili na watu hawana wasi wasi.
 
Kabla ya kuuza mali zetu hasa nyumba na kiwanja tujitahidini kupata hati halali kwanza TOKA wizara ya ardhi ,siku hizi matapeli wengi sana,nyumba/kiwanja kiMoja kinauzwa mara mbili na watu hawana wasi wasi.

Ninkweli mkuu ila wamenisumbua sanna ardhi sikupata kila siku hela tu ili kujiridhisha biashara inafanywa serikqli za mtaa mchana kweupe nq mashqhidi wakiwa majirani wa nyumba za pembeni yangu
 
Nyumba nzuri bei reasonable tatizo sina pesa
 
Mikwambe ni eneo linalokua kwa kasi.

Ni center nzuri sana kwa watu wenye dhamira ya uwekezaji wa muda mrefu. Pia mradi wa Mwendokasi wa Mbagala ukikamilika, feeder buses zitakuwa zinakuja hadi huko Mikwambe. Survey ishafanyika.

Mwenye nia walah namshauri anunue hiyo nyumba kabla sijafanya maamuzi magumu ya kuanza kulipia kwa awamu
 

Hilo ndio limenishinda wapo wengi wanataka walipie kwa awamu ila haiwezekani ndugu nahitaji ya pamoja
 
ni mara ya pili naona hii ad jukwaani, nyumba iko poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…