NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Habari za majukumu nyote,
Kuna Dada yangu kakwama anauza NYUMBA yake, iliyopo maeneo ya singida mjini.
MAELEZO
NYUMBA inapatikana singida mjini maeneo ya JINERI.
kutoka stand kwa bajaji ni tsh 500 tu.
Nyumba ina vyumba vinne (viwili ni master), jiko, sebule, store na maliwato ya pamoja.
Ukubwa wa eneo la nyumba ni meter 38 kwa 46 (sqm 1648)
Nyumba imeshakamilika kwa 100%
Umeme upo jirani na maji pia. ( ni kuvuta tu)
Tiles,gypsums, aluminum windows (inclusively)
Contact: 0756 832833
Sent using Jamii Forums mobile app