House4Rent Nyumba Mpya inauzwa Singida (mjini) kwa 30m.

House4Rent Nyumba Mpya inauzwa Singida (mjini) kwa 30m.

Hao mafundi wa singida waambie wajifunze

1.Namna ya kuweka vigae vya nyumba ya kuishi hili suala la kuacha vinafasi kati ya kigae halafu uje uzibe ni uchafu siku hizi hawaachi nafasi

2. Wajifunze kumshauri mteja ni aina gani ya vigae vinafaa na kupendeza kwenye nyumba za kuishi na uwekaji wake uwe wa kitaalamu na vipimo bila kupinda pinda.

3. Wajifunze upakaji mzuri wa rangi

4.Unaweza kuwa umetumia garama kubwa na unaidhamanisha nyumba yako kwa garama hizo lakini kumbe kazi imeharibiwa na mafundi washamba
 
mbona huyo mama kwenye picha ana uzuni sana isije ikawa mzazi hajabariki nyumba iuzwe
 
Nyumba ni nzuri ila ina rangi za ajabu ajabu. Ningekuwa na pesa, ningeibadilisha rangi kabla sijainunua!
 
Back
Top Bottom