Mpe alafu umtangulizie 15mil iwe 30mil, nyumba ya vyumba vinne ya kisasa ya 15mil. ipo town center uliiona wapi au unataka ligi.
Wewe ni kenge?
Kaa kimya, we hata ungeambiwa mil 1 huna!Mpe alafu umtangulizie 15mil iwe 30mil, nyumba ya vyumba vinne ya kisasa ya 15mil. ipo town center uliiona wapi au unataka ligi.
We kenge hata laki tu huna, unaishi ksa shemeji dada akiachwa na ww umeachwa!Wewe ni kenge?
Mkuu hata kama huyu Dada ana matatizo yake, sidhan kama atakubali.
Potential opinion.Nyumba nzuri kulingana na iyo Bei....sasa kama anahitaji pesa ya haraka ambayo labda ni chini ya hiyo mil30 angeweza kuomba mtu alipe asilimia 65% ya bei mil30 alafu iliyobaki atanguliziwe, ila kwa masharti ya makubaliano.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji106][emoji106]Kwa bei ya 30m kiuhalisia ni ndogo. Nyumba hiyo, bila kumung'unya maneno, ina thamani kubwa zaidi ya 30m. Hivyo, kwa mwenye mali kutaka kuiuza kuwa 30m tu ni dalili wazi mwenzetu amekwama mahali. Tumsaidie badala ya kugandamiza zaidi. Kama nawe huna fedha kaa kimya badala ya kuandika maneno yasiyopaswa kutoka kwa muungwana.
Great thinker,Hiyo bei ni ndogo sana kulingana na thamani ya nyumba, hata ukipewa 50m ujenge hiyo nyumba unaweza usiimalize kwa kuishiwa pesa, inawafaa zaidi watu wa maeneo hayo.
Wewe boyaaaa tu umejuajee account yangu au unaongea tu