Nyumba inauzwa mbagala chamanzi, haijakamilika 100% ina viumba vitatu, kimoja ni master bedroom, imeezekwa bati, ina mlango wa geti nyuma na mbele, flem za dirisha..inaitajifanyiwa finishing kwa kuweka sakafu, kupiga ripu, kuweka maji, umeme, na matengenezo mengine ya vile mnunuaji atapenda . Style yake ni nzuri, umeme upo karibu (huitaji nguzo ) ipo karibu na barabara kuu na kituo cha basi kipo karibu . Eneo limechangamka na kunawakazi pia . Bei mil 22 .
Kama upo intrested unaeza enda mpaka kwenye eneo nyumba ipo kuweza kuona na maelewano zaidi. Pm me.
Asante