Nyumba mpya inauzwa

Nyumba mpya inauzwa

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Nyumba inauzwa mbagala chamanzi, haijakamilika 100% ina viumba vitatu, kimoja ni master bedroom, imeezekwa bati, ina mlango wa geti nyuma na mbele, flem za dirisha..inaitajifanyiwa finishing kwa kuweka sakafu, kupiga ripu, kuweka maji, umeme, na matengenezo mengine ya vile mnunuaji atapenda . Style yake ni nzuri, umeme upo karibu (huitaji nguzo ) ipo karibu na barabara kuu na kituo cha basi kipo karibu . Eneo limechangamka na kunawakazi pia . Bei mil 22 .
Kama upo intrested unaeza enda mpaka kwenye eneo nyumba ipo kuweza kuona na maelewano zaidi. Pm me.
Asante
 
Hivi Chamazi ipo wapi pale mbagala rangi 3
 
Hebu weka picha! Biashara matangazo ati
 
Nime google earth nimeishia hapa........hebu tupe ordinates bana

Mbagala.png
 
Mkuu nakushauri fanya hivi ebu ipige picha nyumba yako, piga picha kama nne au tano then njoo uzibandike humu Jamvini.
Mtu hawezi kufika bei kwa maneno tu
 
piga picha nyumba katika mitazamo tofauti kama mbele ya nyumba, ubavuni , kwa nyuma na kwa mbali kidogo ili kuweza kuiona yote na pia inavyopakana na zingine
 
hello, nashukuru sana kwa kupata ushauri kutoka kwenu , nafanyia kazi . haraka i wezekanavyo mtaweza ona picha za hiyo nyumba.
asante
 
Back
Top Bottom