Wanataka super profit!
Hiyo nyumba kwa kweli kwa bongo unaijenga kwa 70 to 80m na zaidi inategemea finishing ya ndani, kiwanja chake bomba ila bei mmmhhhhhh!
Kwani mwenye nyumba alisema iuzwe kwa bei gani ?...Bei yake ni Tshs 180mil.
Kwani mwenye nyumba alisema iuzwe kwa bei gani ?
Biasha ya kuuza na kununuliana ni mazungumzo
Kwani mwenye nyumba alisema iuzwe kwa bei gani ?
hahahaha unamaana huyu jamaa ni dalali?