Nyumba mpya inauzwa

Nyumba mpya inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Ipo Tabata Kinyerezi. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure kuwa, maji na umeme. Ipo katika eneo la nusu eka. Mbele yake kuna barabara kubwa ya rami.Ina Hati Miliki.Bei yake ni Tshs 180mil. Maongezi yapo.
Kwa maelezo zaid. 0717114409/0784225000

5029d1246274034-a-pic00966.jpg

5030d1246274034-a-pic00967.jpg

5031d1246274034-a-pic00969.jpg


5032d1246274034-a-pic00968.jpg


5033d1246274034-a-pic00974.jpg
 

Attachments

  • PIC00966.JPG
    PIC00966.JPG
    91.5 KB · Views: 208
  • PIC00967.JPG
    PIC00967.JPG
    75.4 KB · Views: 198
  • PIC00969.JPG
    PIC00969.JPG
    44.3 KB · Views: 187
  • PIC00968.JPG
    PIC00968.JPG
    90.4 KB · Views: 189
  • PIC00974.JPG
    PIC00974.JPG
    59.2 KB · Views: 187
Mkuu;

Mbona hiyo bei kwa nyumba inayoonekana haviendani.

I bet kwa Ujenzi wa Segerea/Kinyerezi haipiti hata TZS 80 Million.
 
Fall in love with a location. Hiyo nyumba ipo katika eneo zuri sana. Ok ukijenga kwa milion 80 kiwanja umenunua shs ngapi? kiwanja kimoja cha mita za mraba 1200 kinauzwa sh 25 wa30 milioni. Pale kuna viwanja viwili. Upo hapo?
 
Hiyo Nyumba maximum ni Million 100. Period! tena kiwanja ndo inaikuza bei
 
Wanataka super profit!

Hiyo nyumba kwa kweli kwa bongo unaijenga kwa 70 to 80m na zaidi inategemea finishing ya ndani, kiwanja chake bomba ila bei mmmhhhhhh!
 
Wanataka super profit!

Hiyo nyumba kwa kweli kwa bongo unaijenga kwa 70 to 80m na zaidi inategemea finishing ya ndani, kiwanja chake bomba ila bei mmmhhhhhh!


Kweli Mkuu;

Nina Sister wangu yuko yuko UK ana nyumba yake maeneo hayo ya Segerea lakini ni semi Finished. Ina rooms 4 na garage na Juu kuna kigai cha Nabaki Africa nadhani cha SA. Yeye anaiuza hata Million 100 haifiki.

Actually Mimi Mtu akinipa hiyo Million 100 I can assure anajenga nyumba katika kiwanja kama muuzaji anachosema na kwa ubora wa juu zaidi.
 
"Mwisho wa siku" Bei si hoja!! Ni mteja atayeamua nyumba yako ina thamani gani na kiasi gani anaweza kulipa.
 
kasema hiyo niliyoiandika hapo, yaani 180mil. Kawaida biashara za nyumba huwa zinakuwa na mazungumzo. Nahiyo siyo fixed price
 
Biasha ya kuuza na kununuliana ni mazungumzo
 
Biasha ya kuuza na kununuliana ni mazungumzo

watu wengi wanaongalia JF wameshawahi kuishi nje ya TZ, na uuzaji ni straight kwenye bei lakini wewe unaweka 180 unategemea muanze kushushana watu wanakuona michosho...

hiyo nyumba hata mil 100 ni ulanguzi
 
hahahaha unamaana huyu jamaa ni dalali?


khaa me mwenyewe nimecheka sana, jamaa yupo kama kashtukia huyo ni dalali.....btw hiyo nyumba imebebwa na hicho kiwanja, nyumba ni ya kawaida sana kwa ujenzi wa dar na hiyo bei hapana!
 
Back
Top Bottom