House4Rent Nyumba mpya na ya kisasa inapangichwa Mbezi njia panda ya Goba na Makabe

Mkuu wewe endelea kubweka hapa, mtu ambae yupo serious na anaeweza kulipa 500k kwa mwenzi na nimuhitaji akishaona namba hapo anapiga, zipo sababu za kutopiga picha ndani na mtu akihitaji anaona ndani! hata nikikupa sababu ww mtu unaekaa kwenu ni kazi bure.. hebu tulia mkuu tufanye kazi
 
Mkuu wewe endelea kubweka hapa, mtu ambae yupo serious na anaeweza kulipa 500k kwa mwenzi na nimuhitaji akishaona namba hapo anapiga, zipo sababu za kutopiga picha ndani na mtu akihitaji anaona ndani! hata nikikupa sababu ww mtu unaekaa kwenu ni kazi bure.. hebu tulia mkuu tufanye kazi
 
Mkuu naomba ukipata masta mikocheni yenye vigezo vifuatavyo

sifa
Kiwe cha njee
Maji yawepo
Ndani ya geti
Wapangaji wachache (napenda ukimya kwaajiri ya kazi zangu)
Kisiwe ndani sana ya mitaa ambapo gari haifiki
Msikiti usiwepo karibu
Isiwe mikocheni ile ya uswazi pale


BAJETI Isizidi 140k
UKipata weka picha apa.
 
Duuh 140k masharti kibao
 
Mkuu Tunzo hujaona hii au??
 
Watu msiosoma na kuingia katika biashara uwa hamna lugha nzuri na hata adabu kwa mteja. Watu wanakuuliza vizuri tu badala ya kuwaelekeza unawatukana. Umeambiwa uweke picha za ndani hutaki. Anayetaka kuona ndani ina maana amekuwa interested na ni jukumu la muuzaji kuweka details kwa wateja wake

Mnashindwa kujifunza kwenye makampuni ya Real Estates ya nje? au lah angalia hata wauzaji wa magari kama beforward wanaweka details zote za wanachokiuza. Hiyo nyumba vipi kama sebule yake ni ndogo sau mita 3.5 kwa 3.5? Weka picha za ndani kama wateja wanavyoomba. Ukiona mtu mmoja ameuliza hata kwa kebehi ujue jibu la swali lake litawanufaisha wengi humu ambao wanahitaji huduma yake lakini hawa-comment. Kama kazi imekushinda rudi shule ukasomee masoko.

Nchi yetu tuna safari ndefu sana. Kazi za wasomi zinafanywa na wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…