Mkuu kama haupo serious potezea! eti unatafuta pesa ya kula wewe unatafuta pesa ya kunya? sinaga shida na hizo pesa za mguu, ndio mana hata nikiweka tangazo hapa sisemagi pesa za kwenda kuona nyumba, means ni maelewano yetu, pitia page zote za matangazo ya nyumba iwe hapa au instergram, zoom au page zote za matangazo ya nyumba, utaona wameweka kwenda kuona nyumba ni kuanzia 15k wengine 20k, hope wateje wangu wanalijua hilo ambao nilishawapiatia nyumba, nashangaa sana kwa kuanza kulalamika mapema! hujaona namba hapo? haupo serious! hivi kweli nimekuambia nauli, na hapa ni lipo hata 2000 haifiki inakutoa kamasi utaweza kweli kulipa 500k kwa mwezi *6 ambayo ni 3M, hahaa si itakutoa nanilii na utumbo kabisa? Sema kama huna nikutumie boda boda aje akuchukue nikupeleke ukaone bure, nikupe na nauli ya kurudi na ya usumbufu!