S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Feb 19, 2010 #1 Nyumba mpya ya gavana wa bot inavutia lakini kulikuwa na umuhimu wa kuwa na nyumba kubwa na yenye dhamani kiasi hichi? Attachments NYUMBA MPYA YA GAVANA WA BOT.doc NYUMBA MPYA YA GAVANA WA BOT.doc 422.5 KB · Views: 331
Nyumba mpya ya gavana wa bot inavutia lakini kulikuwa na umuhimu wa kuwa na nyumba kubwa na yenye dhamani kiasi hichi?
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 408 Feb 19, 2010 #2 Mmmh Mungu ibariki Tanzania
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Feb 19, 2010 #3 Aibu lol
PingPong JF-Expert Member Joined Dec 21, 2008 Posts 926 Reaction score 160 Feb 19, 2010 #5 m-bongotz said: Mmmh Mungu ibariki Tanzania Click to expand... Amen!
M mmakonde JF-Expert Member Joined Dec 26, 2009 Posts 965 Reaction score 68 Feb 19, 2010 #6 Temeke/BoT bungalow hapo ndio unaona tofauti ya nyani na binadamu. Binadamu anajali mwenzake,lakini nyani hajali mwenzake hata kundule.
Temeke/BoT bungalow hapo ndio unaona tofauti ya nyani na binadamu. Binadamu anajali mwenzake,lakini nyani hajali mwenzake hata kundule.
K Kristin Member Joined Aug 26, 2009 Posts 65 Reaction score 4 Feb 19, 2010 #7 Inatia aibu na kuhuzunisha. Huyo gavana kama ataona hii sidhani kama atakaa kwa amani kwenye hilo hekalu.
Inatia aibu na kuhuzunisha. Huyo gavana kama ataona hii sidhani kama atakaa kwa amani kwenye hilo hekalu.