Nyumba ipo Goba kwa Robert,
* Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu.
*Ina vyumba vinne vikubwa ,kila chumba kina choo chake .
*Ina Spanish tiles.
*madirisha ni pvc
*ina fence
*ina vyoo (toilets) 5 .
*umeme na maji yapo.
*uwanja wake una ukubwa wa sqm 880
Bei yake tshs. 168 million negotiable
Dalali unaruhusiwa kuleta mteja.
📞 +255 785 335 350
The house is new, no one has lived in, it is located alongside goba road, kwa Robert, 1.5 kilometers away, 90% finished with PVC windows and Spanish Tiles, 4 bedrooms all self contained, plus public toilet, sitting room, dining, kitchen and store, it is fenced. Electricity and water supply (Dawasa)
Hua najiuliza labda madalali wanisaidie, kwa mfano nkienda kuona nyumba na nkailipia, je kwanin nitoe hela ya dalali na hela ya kwenda site pia?
Kwanin isiwe kwamba tumetembea kooote kama nkiona nyumba inanifaa nkulipe ya dalali only, kama sijapata nnachotaka nkulipe ya kwenda site

Ni sheria gani hiyo kama biashara itafanyika! Kwani kakupeleka ili iwe nini!!!? Mimi ninachoweza kufanya hua naangalia kama kanipeleka site na sikuona uwezekano wa kumaliza biashara kwa namna yoyote ile hua natafuta tano au kumi moja tu kwa ihari yangu tena inategemea nimeivana na hudumu yake kwa kiasi gani ndio natoa ila si kwa yeye kunipangia!
Hua najiuliza labda madalali wanisaidie, kwa mfano nkienda kuona nyumba na nkailipia, je kwanin nitoe hela ya dalali na hela ya kwenda site pia?
Kwanin isiwe kwamba tumetembea kooote kama nkiona nyumba inanifaa nkulipe ya dalali only, kama sijapata nnachotaka nkulipe ya kwenda site
Kwa ninavyojua mfano nyumba za mbezi beach, masaki hazina mambo ya kumlipa dalali hela ya kwenda site au hela ya mwezi dalali anamalizana na mwenye nyumba, labda ungekuwa unawauliza wanavyokupeleka site kwanini wanakuchaji pesa.
We endelea kucheka tuu siku ukipata uwanja goba ukajenga nyumba ukapiga hizo bati, ukaweka madirisha pvc original, na tiles ukaenda kuchukua pale spanish tiles ndo utajua ujui
Hua najiuliza labda madalali wanisaidie, kwa mfano nkienda kuona nyumba na nkailipia, je kwanin nitoe hela ya dalali na hela ya kwenda site pia?
Kwanin isiwe kwamba tumetembea kooote kama nkiona nyumba inanifaa nkulipe ya dalali only, kama sijapata nnachotaka nkulipe ya kwenda site
Madalali hawawezi kufutika kwani mwenye nyumba kama anauza hawawezi kuwafikia watu wote hata kama ataweka kwenye mtandao bado cha juu atatoa tu
Estate agents ndio wanatakiwa tena na ofisi zao mpaka kwenye mitandao ukiandika tu nataka nyumba masaki unaziona zote zinazouza maeneo hayo
Ila ujanja mwingi na wakwepa kodi wengi
Huku nilipo ni biashara inayolipa sana na wauza makazi ni matajiri wakubwa sana na wana ofisi kila kona na kuajiri madalali kibao
Ila huko kila mmoja anaenda solo tu na ujanja mwingi au cha juu kwa sana
Kazi inalipa sana hii kama una ofisi yako maana utapata wateja wengi wakiona upo na ofisi
Ni wazo langu tu

Ata huku ofisi zipo nyingi tuu lakini baadhi nazo zimekuwa pia zikitapeli watu hasa viwanja ata nyumba..mfano nyumba wanakuambia tupe hati tuibadilishe jina iwe jina la kampuni yetu afu tuchukulie mkopo ndo tukulipe hela yako afu sisi tutaiuza taratibu huku tukilipa deni la bank, basi ukikubali wakifanikiwa kuchukua huo mkopo waingia mitini hela upewi , mnaanza kupelekana mahakamani