House4Sale Nyumba mpya ya kisasa ina vyumba vinne inauzwa Goba, Dar

House4Sale Nyumba mpya ya kisasa ina vyumba vinne inauzwa Goba, Dar

Status
Not open for further replies.
Nyumba nzuri lakini naona kama ipo over priced na pia kama ipo kwenye njia ya maji upande wa geti la mbele
Njoo site uone mwenyewe, njia ya maji ipo upande wingine kabisa na nyumba ipo juu kabisa,inacho hitaji ni landscaping nzuri tuu,na kuhusu price ni vile anashida na pesa tuu gharama alizotumia na risiti zipo hamna ata faida anayopata ni kwa vile tuu ana shida na cash
 
Watanzania tujifunze kujenga na kufikiria kesho.

Unatumia akili gani kujenga nyumba ya vyumba 4 vyenye choo ndani? Imekuwa guest?

Mnatengeneza ghost homes
 
Watanzania tujifunze kujenga na kufikiria kesho.

Unatumia akili gani kujenga nyumba ya vyumba 4 vyenye choo ndani? Imekuwa guest?

Mnatengeneza ghost homes
Acha ushamba uzuri wa nyumba vyoo, we huoni nyumba za wenzetu wale high class nyumba ina vyumba 5 lakini bathrooms zipo 8.. sisi huku africa kujenga choo kimoja tuu mpaka zipigwe kampeni kwenye redio nyumba ni choo 🤣🤣🤣
 
We endelea kucheka tuu siku ukipata uwanja goba ukajenga nyumba ukapiga hizo bati, ukaweka madirisha pvc original, na tiles ukaenda kuchukua pale spanish tiles ndo utajua ujui
Hizo bati nimeziona ni z akibabe sana. Unaweza kupata 1Meter kwa 60,000, sasa imagine nyumba nzima
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom