Kias gan zinauzwajenga uza izo
1. choo shimo urefu futi 4
2. mbao za kenchi za minazi isiyokomaa
3. wiring wanatumia nyaya za spika
4. mfuko mmoja wa dangote tofali mia
ingia kichwa kichwa upigwe
Kati ya 20m hadi 30mKias gan zinauzwa
Ili kutaka kuthibitisha ikiwa shimo siyo futi 4, tofali ni imara na ishu kama hizo potential mteja anatakiwa kufanya nini kujiridhisha ubora?jenga uza izo
1. choo shimo urefu futi 4
2. mbao za kenchi za minazi isiyokomaa
3. wiring wanatumia nyaya za spika
4. mfuko mmoja wa dangote tofali mia
ingia kichwa kichwa upigwe
Bomoa sehemu ya nyumba hiyo mpya then pekecha hilo tofali.Ili kutaka kuthibitisha ikiwa shimo siyo futi 4, tofali ni imara na ishu kama hizo potential mteja anatakiwa kufanya nini kujiridhisha ubora?
Bora uende ukatembelee.....ujionee na kukaguaWakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja
JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa vizuri mkazungumzia jambo hili kwa weledi mkubwa ili Watanzania wakajifunza jambo
Mfano wa nyumba hizo unaweza kuwa kama huu
Daaaa.....ukiwa mjanja na mafundi wako wasio tamaa utajua....usiwe ns harakaUnakuta wameshapiga mpaka rangi huoni chochote