BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Mkuu kwenye bei, umekosea au??
Nadhan kuna makosa...labda ndo maana wahasibu huwa wanasisitiza kuongeza maneno yaan mfano milioni mia moja na hamsini tu....pia nahisi ndo alivomaanisha. [emoji28]Mkuu kwenye bei, umekosea au??
Nyumba itauzwa vipi bila kiwanjaUnauza Nymba au Kiwanja
Nyumba itauzwa vipi bila kiwanjaUnauza Nymba au Kiwanja
Nusu bilioni na ushee.....!Hii nyumba 550M kigamboni? Tuacheni utani jamani...!!
Wakuu bei milioni mia 550 ,
Milion 550 are you serious.... mmmmm hatar kigambon nyie watu mnamatatizo tena sio matatizo kidogo au hii hela ya TZ haina thamani nini .Ukubwa wa Kiwanja:sq meter 1200
Ina fensi na getiI kubwa upana meter 4 serv coater
____________________
Master bed rooms: 2
Normal bed room :1
Bafu na choo cha public
Jiko la kisasa ndani
dinning na sitting nzuri
Tank la Maji:lita 4000
Parking:gari 8 (rav 4)
Ukubwa wa nyumba ni sq meter 610 (eneo limepimwa)
Umeme mkubwa ndani
uwanja umepambwa na paving blocks kiufundi sana
Km 10 toka ferry
________________________
Bei: milioni 550
mnakaribishwa kwa maongezi na kuiona
Mahali: kigamboni ,kibada,block 14
Mob:+255 718 295 182
--------------------------------------
Bango
[emoji23]Sawa mkuu umesomeka, subiri 'mateja' waje.