House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

Kama diamond alinunua nyumba southafrica ml 300 tena south ambapo unapata huduma zote za kijamii na ulinzi juu kwann kigamboni iwe ml 550? Ukinijibu hapo nakuunganisha na mtu
 
Hhhhh.... Sometimes madalali mnakuwaga kama mmerogwa... Kutaka kuvuna msipopanda..

Ni wazi inaonekana hujawahi kujenga, hujui gharama za ujenzi..

Eti 550m...
 
Ndo bei za beach houses. Manake square meter ya ardhi maeneo hayo ziko juu mpaka 1m per square meters. Ingawa jamaa naona hajaweka umbali nyumba ilipo kutokea baharini
Hio sio beach house, iko mbali sana na bahari.
 
Hivi yale magorofa ya magufuli pale chuo kikuu yamegarimu kiasi gani vile...10billion gawanya kwa 20.......
 
Acha utani weka bei inayo eleweka mill 550 it's jockey, kwaninavyo ionahapo we anza na 180 Milioni.
 
Acha utani weka bei inayo eleweka mill 550 it's jockey, kwaninavyo ionahapo we anza na 180 Milioni.

Hata 180 hapati mtu, hapo aanze na 100. Hiyo nyumba thamani yake ni around 70M mpaka 100M zaidi ya hapo haiwezekani.
 
Back
Top Bottom