Complex JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 4,119 Reaction score 4,779 Feb 28, 2017 #41 Kichakoro said: Hivi yale magorofa ya magufuli pale chuo kikuu yamegarimu kiasi gani vile...10billion gawanya kwa 20....... Click to expand... Na tena ujenzi ule wa maghorofa kuna vingi vimeingia. Kuna nondo mule, kuna formwork za kutosha, kuna ukodishwaji wa matingatinga, kuna high grade reinforced concrete, kuna mirunda ya kukodi and stil ilikwenda kwa 10B whole project.
Kichakoro said: Hivi yale magorofa ya magufuli pale chuo kikuu yamegarimu kiasi gani vile...10billion gawanya kwa 20....... Click to expand... Na tena ujenzi ule wa maghorofa kuna vingi vimeingia. Kuna nondo mule, kuna formwork za kutosha, kuna ukodishwaji wa matingatinga, kuna high grade reinforced concrete, kuna mirunda ya kukodi and stil ilikwenda kwa 10B whole project.
Liwagu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 5,593 Reaction score 6,754 Feb 28, 2017 #42 Complex said: Hata 180 hapati mtu, hapo aanze na 100. Hiyo nyumba thamani yake ni around 70M mpaka 100M zaidi ya hapo haiwezekani. Click to expand... Yaah, kwa nyumba hiyo sabini huenda ikawa sawa lakini hatujui uimarawake sazingine marangirangi na ramani haina maana kwamba nyumba ni imara. Ukosawa.
Complex said: Hata 180 hapati mtu, hapo aanze na 100. Hiyo nyumba thamani yake ni around 70M mpaka 100M zaidi ya hapo haiwezekani. Click to expand... Yaah, kwa nyumba hiyo sabini huenda ikawa sawa lakini hatujui uimarawake sazingine marangirangi na ramani haina maana kwamba nyumba ni imara. Ukosawa.
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 627 Feb 28, 2017 #43 BANGO JEUPE said: Wakuu bei ya maelewano ipo mtu akija kuiona hiyo nyumba tunaweza kuongea na kuafikiana bei punguzo Click to expand... Bei ya maelewano ndio bei gani? We andika bei ya kuuzia hapa, Acha kusumbua watu
BANGO JEUPE said: Wakuu bei ya maelewano ipo mtu akija kuiona hiyo nyumba tunaweza kuongea na kuafikiana bei punguzo Click to expand... Bei ya maelewano ndio bei gani? We andika bei ya kuuzia hapa, Acha kusumbua watu
U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 627 Feb 28, 2017 #44 BANGO JEUPE said: Wakuu bei ya maelewano ipo mtu akija kuiona hiyo nyumba tunaweza kuongea na kuafikiana bei punguzo Click to expand... Bei ya maelewano ndio bei gani?
BANGO JEUPE said: Wakuu bei ya maelewano ipo mtu akija kuiona hiyo nyumba tunaweza kuongea na kuafikiana bei punguzo Click to expand... Bei ya maelewano ndio bei gani?