Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #41
Abunuwasi,Hivi jamani mnamkumbuka mzee Mpangile pale kwenye makaburi ya kisutu ambaye wakati tukiwa wadogo tulikuwa tunakwenda kupopoe maembe maeneo yale naye alikuwa anatufurusha mbio ilikuwa kama mchezo wa paka na panya pale-
Mwenyezi mungu amlaze mahala pema babu yetu yule
Allahuma Amin.
Sasa chepuka kidogo hapo ingia Kisutu mjini kwenyewe.
Pata na picha ya Msikiti wa Mwinyikheri ule wa zamani.