Nyumba na chumba cha kupanga karibu na Mabibo Hostel,njoo upange kwa gharama nafuu.

Jingalao

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
122
Reaction score
102
Nyumba zote hizi zipo umbali wa mita100 kutoka barabara ya Mandera(Mandera road).
Huduma mhimu zote zipo.

1.Chumba Master na sebule Tsh120,000.
2.Chumba single na sebule Tsh80,000 (choo na sebule mnatumia wawili.)
3.Nyumba nzima na choo kipo ndani(vyumba viwili vya kulala,sebule na choo) Tsh160,000.
4.Picha sijapiga
5.Ukihitaji piga simu 0622948987
6.Kwenda kuonyesha hizo nyumba zote gharama yake Tsh10,000

===============
Riverside kuna nyumba nzima Tsh300,000 kwa mwezi,malipo ni miezi sita.
 
Mbona una akili kama za Zitto Kabwe, kupotosha watu tu? Hizo picha za nyumba ziko wapi sasa?
 
Mwenye pesa hayuko tayari kupigana kuingia kwenye daladala.
Kwahiyo kulipia nyumba ya laki 2 kwako ni kuwa na pesa...

Inaonekana umaskini bado unakutesa sana kijana...

Kama umeamua kuwa dalali, jitahidi kuwa na lugha nzuri, alafu sijui kipi hasa kimekushinda kuweka hizo picha!!

Mi naona kama unataka kula elf 10 za watu...alafu nyumba zenyewe zikawa vimeo!!
 
Umejuaje kuwa kati ya mimi nawewe nani umaskini unamtesa.
Unakisia tu bila kulinganisha kipato changu na chako.
Sijakulazimisha kuja kuangalia ni hiari yako.

Back
Top Bottom