Nyumba na chumba cha kupanga karibu na Mabibo Hostel,njoo upange kwa gharama nafuu.

Kupotosha watu kuna husiana sana na Zitto, ulikuwa hujuwi?
"Wakati naingia madarakani, sukari ilikuwa 5000. Sasa ni 3000". Kauli ya JPM rais wetu wa Tanzania

Huyu sio mpotoshaji nadhani.

Tukiweka utaifa mbele tutalijenga taifa ile mihemko na ushabiki wa kivyama utaliangamiza taifa.

Have a nice day.
 
Huyu dalali ana element za jiwe, kifupi ni msanii hivyo wana jf mjihadhali naye. Ntakuona bogasi sana (bashite) kama utaenda na kulipa hiyo 10,000 afu uje kulalamika hapa kuwa hiyo nyumba ni kimeo ili hali dalali tapeli(jiwe) kashasema haweki picha na wala hatarajiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…