Nyumba umeiona mkuu? Nani kakwambia nyumba na plot vinauzwa milioni 100? Mpigie Ngunga upate uhakika wa bei na uende uone mali kwa macho yako. Usisikilize maneno ya watu.Kwa milioni 100 hapo bado hujanipata labda walau ungesema milioni 10. Nyumba yenyewe imejingwa kwa mchanga mwingi kuliko cement.
tpaul ndiye kavianzisha!!Vipimo vya futi nani kavianzisha?
Mkuu inakuwa vigumu kuweka picha kwa sababu nipo mkoani. Ndio maana nimetoa namba ya mtu aliye Dar ili ikibidi umpigie akupe ABC au kama ataweza akutumia picha WhatsApp. Ni vizuri mtu akaenda kujionea mwenyewe kuliko kuangalia picha. Ukiangalia picha huwezi kupata uhalisia.Mtoa mada watu wanamaanisha kuwa uweke picha za eneo husika. Sio mtu atoke mbali kuja kuangalia kitu ambacho angeweza kuamua kwa picha kutumwa.
Epusha udumbufu kwa wateja
Exactly. Simu yake ipo hewani 24/7 mkuu. Mpigie wakati wowote haina shida.Kwa hali hii simu ya Mr. Ngunga inatakiwa kupatikina muda wote! Na iwe na bundle muda wote kwa ajili tu ya kujibu maswali yahusuyo bei na pia kutwatumia wateja picha za hiyo nyumba + plot.