INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632
Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea.

Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres).

Mahali: Chamazi, karibu na Azam Complex.

Inafaa kwa: Makazi na/au biashara

Contact person : 0693 750 391/0711 751 197 (Mr Ngunga)
 
Mbona paa lake kama mkuki vile. Alafu hapo nikama pana asili y kichuguu? Kiongozi
Mkuu umeishaenda kuona mahali panapouzwa au umeona wapi hiyo paa? Mpigie Ngunga kwenye namba hiyo hapo juu ukaoione nyumba na plot zinazouzwa mkuu.
 
Kwa milioni 100 hapo bado hujanipata labda walau ungesema milioni 10. Nyumba yenyewe imejingwa kwa mchanga mwingi kuliko cement.
Nyumba umeiona mkuu? Nani kakwambia nyumba na plot vinauzwa milioni 100? Mpigie Ngunga upate uhakika wa bei na uende uone mali kwa macho yako. Usisikilize maneno ya watu.
 
Mtoa mada watu wanamaanisha kuwa uweke picha za eneo husika. Sio mtu atoke mbali kuja kuangalia kitu ambacho angeweza kuamua kwa picha kutumwa.
Epusha udumbufu kwa wateja
 
Mtoa mada watu wanamaanisha kuwa uweke picha za eneo husika. Sio mtu atoke mbali kuja kuangalia kitu ambacho angeweza kuamua kwa picha kutumwa.
Epusha udumbufu kwa wateja
Mkuu inakuwa vigumu kuweka picha kwa sababu nipo mkoani. Ndio maana nimetoa namba ya mtu aliye Dar ili ikibidi umpigie akupe ABC au kama ataweza akutumia picha WhatsApp. Ni vizuri mtu akaenda kujionea mwenyewe kuliko kuangalia picha. Ukiangalia picha huwezi kupata uhalisia.
 
Vipimo vya futi nani kavianzisha?
Kama umesoma vizuri tangazo, nimeconvert kwenye meta pia mkuu. Tangazo hili hapa:
Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres).
 
Kwa hali hii simu ya Mr. Ngunga inatakiwa kupatikina muda wote! Na iwe na bundle muda wote kwa ajili tu ya kujibu maswali yahusuyo bei na pia kutuma picha za hiyo nyumba + plot kwa wateja wote wenye nia ya kununua.
 
Kwa hali hii simu ya Mr. Ngunga inatakiwa kupatikina muda wote! Na iwe na bundle muda wote kwa ajili tu ya kujibu maswali yahusuyo bei na pia kutwatumia wateja picha za hiyo nyumba + plot.
Exactly. Simu yake ipo hewani 24/7 mkuu. Mpigie wakati wowote haina shida.
 
Back
Top Bottom