Hujiamini nini na bei mkuu??ndio maana nimeweka mawasiliano kwa ajili ya maelezo zaidi, humu kuna watu awana akili nzuri, wataanza kuleta kebei na masihara ndio sikuweka bei open
Mkuu weka na bei ili iwe rahisi kupata wateja
mkuu nimepost nyumba 2 na viwanja 2 kwa thread tofauti, ila maelezo zaidi njoo PM na uatachi picture 1 or 2 ili nifahamu unataka kipi ili nikupe maelezo yake.
Weka bei mkuu.
MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!Mkuu weka bei ya kuanzia, unaweza kusema pia kuna maongezi kwa anayetaka kununua.