INAUZWA Nyumba na viwanja vinauzwa

INAUZWA Nyumba na viwanja vinauzwa

Adkins

Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
52
Reaction score
60
Hii nyumba hinauzwa, hipo Bweni ina square metre 1200.
kwa maelezo zaidi piga simu 0714 768080 / 0786 55 8533.View attachment 760513View attachment 760515View attachment 760514
IMG-20180429-WA0007.jpg
View attachment 760517
IMG-20180429-WA0008.jpg
 
Tangazo ni nyumba na viwanja .viwanja vyenyewe viko wapi sasa
 
Nyumba hii inauzwa hipo Tegeta ina full Document.
kwa maelezo zaidi piga simu
0714 768080 / 0786 558533
IMG-20180429-WA0014.jpg
IMG-20180429-WA0011.jpg
IMG-20180429-WA0012.jpg
IMG-20180429-WA0013.jpg
 
Kiwanja hiki kinaunzwa kipo Mbweni kina square metre 1200, kina full document .Kwa maelezo zaidi piga simu 0714 768080 / 0786 558533.
IMG-20180429-WA0022.jpg
IMG-20180429-WA0020.jpg
IMG-20180429-WA0021.jpg
IMG-20180429-WA0019.jpg
 
kiwanja hiki kinauzwa, kipo Wazo kina square metre 1500 kina fully document. kwa maelezo zaidi piga simu 0714 768080 / 0786 558533
IMG-20180429-WA0017.jpg
IMG-20180429-WA0018.jpg
IMG-20180429-WA0016.jpg
IMG-20180429-WA0015.jpg
IMG-20180429-WA0010.jpg
 
Mkuu weka na bei ili iwe rahisi kupata wateja
ndio maana nimeweka mawasiliano kwa ajili ya maelezo zaidi, humu kuna watu awana akili nzuri, wataanza kuleta kebei na masihara ndio sikuweka bei open
 
Mkuu weka bei ya kuanzia, unaweza kusema pia kuna maongezi kwa anayetaka kununua.
 
ndio maana nimeweka mawasiliano kwa ajili ya maelezo zaidi, humu kuna watu awana akili nzuri, wataanza kuleta kebei na masihara ndio sikuweka bei open
Hujiamini nini na bei mkuu??
 
Mkuu kama hauwezi kuweka bei all your post are meaningless and useless. Inabidi uvutie watu kununua kitu Unachouza. Kitu kikubwa cha kuvutia watu ni bei ya kitu.
 
Back
Top Bottom