Hayo manyumba yamefanyiwa makafara na maushirikina, mengine ya naishi majini, mengine ni car wash za ungo za wachawi, mengine ni malengo ya kuingia Baharini,
Ukininua hizo nyumba ni either wewe ni mtambikaji wa kutupa, au mcha Mungu sana, lakini Kama ni msanii sanii, utakuja niambia matokeo!