Plot4Sale Nyumba na viwanja vinauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
NYUMBA INAUZWA
MKOA: Dar es Salaam, Tanzania
WILAYA: Kinondoni
MAHALI: Bunju Beach, Moga

NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO

BEI: TZS Milioni 550
MAONGEZI YAPO

UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600
UMILIKI: Ina hati safi

NYUMBA KALI SANA INAUZWA

SIFA ZA NYUMBA:
  • Vyumba 4 vikubwa vya kulala
  • Sebule kubwa
  • Jiko kubwa
  • Choo public
  • Parking ya kutosha
  • Nyumba ya mfanyakazi yenye vyumba viwili vya kulalal

PIGA SIMU: 0784225000
 

Attachments

  • VID-20250129-WA0466.mp4
    17.6 MB
Unajitafutia nafasi nzuri ya kuwekeza? Hapa kuna fursa kwako! Unanunua nyumba za zamani, unazibomoa na unajenga nyumba mpya za kukodisha, na unaanza kupata mapato haraka. Huu ni mchongo mzuri kwa wawekezaji wa kibongo wanaotaka kuanzisha mitindo mpya ya biashara.

Maelezo ya Viwanja:
  • Ukubwa: 300 sqm na zaidi
  • Bei: Milioni 160 na kuendelea
Maeneo:
- Kuanzia eneo la Kwa Pinda hadi Mwananyamala

Panga tafuta nafasi ya kukutana na kuangalia viwanja hivi vikali. Kwa kupanga siku ya kuvigua au kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia simu: 0784225000.

Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuwekeza!
 
Hayo manyumba yamefanyiwa makafara na maushirikina, mengine ya naishi majini, mengine ni car wash za ungo za wachawi, mengine ni malengo ya kuingia Baharini,

Ukininua hizo nyumba ni either wewe ni mtambikaji wa kutupa, au mcha Mungu sana, lakini Kama ni msanii sanii, utakuja niambia matokeo!
 
### Spacious Apartment for Sale in West Upanga

Category: Apartment for Sale
Location: West Upanga
Property Type: Apartment
Condition: Fairly Used

Property Features:
  • Bedrooms: 3
  • Bathrooms: 4
  • Toilets: 4
  • Size: 210 Square Meters

Facilities Include:
  • 24-Hour Electricity
  • Backup Generator
  • Air Conditioning
  • Balcony
  • Dining Area
  • En Suite Bedrooms
  • Hot Water System
  • Kitchen Cabinets
  • Kitchen Shelves
  • Prepaid Meter
  • Swimming Pool
  • Gym
  • Elevator
  • Playground for Kids

Price: $ 250,000 (Open to Negotiation)

Interested?
Call or WhatsApp: 0784 225 000
 

Attachments

  • VID-20250225-WA2648(1).mp4
    10.6 MB
Back
Top Bottom