Inawezekana mto mada ameongeza 0 moja kwa bahati mbaya. Kinyume na hapo, basi hii dunia haina usawa. Chumba na sebule milioni moja na nusu kwa mwezi!!! Hata kama kuna samani ndani, ila bado kwa sisi watu wa vijijini hatuelewi somo.Babu njoo uone maajabu Tate Mkuu