β¨ Chumba + Sebule
ποΈ Ipo tayari na samani zake zote
π Upanga
π° Kodi: TSh 1,500,000 kwa mwezi
πΈ Picha na video zipo
π₯ Njoo uone β hamia leo!
π Piga / WhatsApp: 0784 225 000
Inawezekana mto mada ameongeza 0 moja kwa bahati mbaya. Kinyume na hapo, basi hii dunia haina usawa. Chumba na sebule milioni moja na nusu kwa mwezi!!! Hata kama kuna samani ndani, ila bado kwa sisi watu wa vijijini hatuelewi somo.