BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga.
Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga.
Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa.
yamekukuta nini
Wadau wesha note kua ni topic yenye wadau baasi inakua lolote lile lasemwa ilimradi tu ihusiane na Nyumba Ndogo... na threads chache ambazo zinakua za Msingi anymore on the Topic... it is becoming so tiresome.... Sorry if by any way am out of line ila ndo ukweli wenyewe....

no you are nat,you have spoken my mind. Am so tired of the 'nyumba ndogo' threads.
Nahisi wewe ni nyumba ndogo ya mtu ndo mana unakuwa na hasira unajua na wewe ni moja ya karaha huko kwa mume wa mtu. Thread za nyumba ndogo zinaandikwa sana kwasababu hili ni janga na linasababisha matatizo mengi kama magonjwa ya ukimwi, kurudisha maendeleo nyuma, kusababisha watoto yatima na kukosesha amani. JF kama social media must play its part in stopping it. Wewe ulitaka members wa JF waitishe mkutano wa hadhara ku campaign. JF inasomwa na mwatu wengi sana hivyo ujumbe ni rahisi kufika. KEEP DISTANCE PLEASE
Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga.
Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga.
Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa.
Wadau wesha note kua ni topic yenye wadau baasi inakua lolote lile lasemwa ilimradi tu ihusiane na Nyumba Ndogo... na threads chache ambazo zinakua za Msingi anymore on the Topic... it is becoming so tiresome.... Sorry if by any way am out of line ila ndo ukweli wenyewe....
Wadau wesha note kua ni topic yenye wadau baasi inakua lolote lile lasemwa ilimradi tu ihusiane na Nyumba Ndogo... na threads chache ambazo zinakua za Msingi anymore on the Topic... it is becoming so tiresome.... Sorry if by any way am out of line ila ndo ukweli wenyewe....
hahahaha..... Umenifurahisha.... Indeed Nimecheka... Na bado ni asubuhi, Kwa hili kama ungekua karibu ningekukaribisha chai ya Tangawizi na Iriki ama ya Maziwa according to your choice.....
Acha assumptions Shetani.... Mimi ni moja ya wadau ambao wamesimamia na kudiscuss hii topic vilivo... Ni haki yangu kua fade up. Nyumba ndogo whether we like it or not, IPO. You can not handle it... Then hapo in Purple... I throw your advice at your face dear for you need it more.... For FYI Sifanyi vitu I can not handle na wala sibahatishi... Nikiwa nyumba ndogo I would be a Kungu of nyumba ndogo.... Enways untaka majibu ya Nyumba Ndogo ins and outs?? Great inputs... Great Discussions...
Courtesy ya The Boss..... LINK
Courtesy ya Roulette..... LINK
Kuhusu watu kua huru kudiscuss hapa at JF.... Of couse you are right.... ila kumbuka kua tunaojadili na kudiscuss ni wale wale kila siku, Kama ulivoona response ya my fellow members i.e Kabana, na Likes za Tausi Mzalendo... Ni wazi we feel the same way, the only difference ni kua Nimekuambia outrite.
BTW Mimi ni muislam... ni mke Mkubwa.... na hata kama incase ingekua yupo mke mkubwa ningejulikana kama mke wa pili for ni halali na si haramu kama ilivo kwa wenzetu Wakristo katika upande wa dini....
Kua na siku njema....