hahahaha..... Umenifurahisha.... Indeed Nimecheka... Na bado ni asubuhi, Kwa hili kama ungekua karibu ningekukaribisha chai ya Tangawizi na Iriki ama ya Maziwa according to your choice.....
Acha assumptions Shetani.... Mimi ni moja ya wadau ambao wamesimamia na kudiscuss hii topic vilivo... Ni haki yangu kua fade up. Nyumba ndogo whether we like it or not, IPO. You can not handle it... Then hapo in Purple... I throw your advice at your face dear for you need it more.... For FYI Sifanyi vitu I can not handle na wala sibahatishi... Nikiwa nyumba ndogo I would be a Kungu of nyumba ndogo.... Enways untaka majibu ya Nyumba Ndogo ins and outs?? Great inputs... Great Discussions...
Courtesy ya The Boss.....
LINK
Courtesy ya Roulette.....
LINK
Kuhusu watu kua huru kudiscuss hapa at JF.... Of couse you are right.... ila kumbuka kua tunaojadili na kudiscuss ni wale wale kila siku, Kama ulivoona response ya my fellow members i.e Kabana, na Likes za Tausi Mzalendo... Ni wazi we feel the same way, the only difference ni kua Nimekuambia outrite.
BTW Mimi ni muislam... ni mke Mkubwa.... na hata kama incase ingekua yupo mke mkubwa ningejulikana kama mke wa pili for ni halali na si haramu kama ilivo kwa wenzetu Wakristo katika upande wa dini....
Kua na siku njema....