Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,273 Mar 6, 2012 #21 Ha ha ha ha ukome tena ukome kabisa kilichokupeleka huko nini???? Hivi unakuwa na ugomvi na nyumba ndogo yanini sasa??? Watu wanakuwa na nyumba ndogo kupunguza kero za nyumba kubwa wewe unakuwa na nyumba ndogo unakuwa na ugomvi nayo pole sana ndugu
Ha ha ha ha ukome tena ukome kabisa kilichokupeleka huko nini???? Hivi unakuwa na ugomvi na nyumba ndogo yanini sasa??? Watu wanakuwa na nyumba ndogo kupunguza kero za nyumba kubwa wewe unakuwa na nyumba ndogo unakuwa na ugomvi nayo pole sana ndugu
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Mar 6, 2012 #22 SHETANI ONE said: Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga. Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga. Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa. Click to expand... dah!kweli nyumba ndogo karaha!mpaka SHETANI NAMBA 1 mwenyewe kanyanyua mikono sioni kwa nini wafuasi wake waendelee na nyumba dogo!
SHETANI ONE said: Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga. Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga. Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa. Click to expand... dah!kweli nyumba ndogo karaha!mpaka SHETANI NAMBA 1 mwenyewe kanyanyua mikono sioni kwa nini wafuasi wake waendelee na nyumba dogo!