Nyumba ndogo ni karaha

Nyumba ndogo ni karaha

Ha ha ha ha ukome tena ukome kabisa kilichokupeleka huko nini????

Hivi unakuwa na ugomvi na nyumba ndogo yanini sasa???

Watu wanakuwa na nyumba ndogo kupunguza kero za nyumba kubwa
wewe unakuwa na nyumba ndogo unakuwa na ugomvi nayo pole sana ndugu
 
Kweli zinachosha na tabia zao za mizinga.
Halafu uankuta mna ka beef lakini lenyewe haliachi kutuma message za kupiga mizinga.
Utasikia jamani baby nina shida sijui ya nini, pumbavu nyie mkoma mtafute wa kuwaoa.

dah!kweli nyumba ndogo karaha!mpaka SHETANI NAMBA 1 mwenyewe kanyanyua mikono sioni kwa nini wafuasi wake waendelee na nyumba dogo!
 
Back
Top Bottom