Nyumba Ndogo ya Kupanga Kwa Muda

Nyumba Ndogo ya Kupanga Kwa Muda

Dijina40

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2010
Posts
727
Reaction score
247
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na sebule. Sehemu ambayo mtu 1 anaweza kuishi vizuri bila muingiliano sana na wengine kama ina watu ndani ya yard. Maeneo ni Mwenge, Survey, Mbezi Beach, Tegeta, Boko. Iwe sehemu yenye usalama na tulivu. Bei itategemea na ubora wa nyumba, ilipo na vitu vilivyomo. Kama una sehemu pia unaweza kuitoa kwa muda huo pls niandikie. Asanteni.
 
Daah nilidhani nyumba ndogo ya malovee
loh
 
Daah nilidhani nyumba ndogo ya malovee
loh

Hehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.
 
Kama bado haujapata niambie!

Ai wewe King Kong III, nimekuandikia toka jana ina maana hata in-box yako husomagi kaka? We kama una dili leta, tutaangalia kilicho bora zaidi ama sivyo?
 
Du sorry ngoja niangalie inbox,haina noma utafanya compee!
 
Hehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.
kama wa kiume aje kwangu naishi mwenyewe nitampa rum yake sio tatizo
 
Hehehehe! Umenichekesha sana leo. Ngoja nikipata mwenzako mwenzako nitakuambiaga.
poa poa huyo mlokole hatonifaa kwenye mitegomitego yangu huyo mpeleke tu mbali huko
 
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na sebule. Sehemu ambayo mtu 1 anaweza kuishi vizuri bila muingiliano sana na wengine kama ina watu ndani ya yard. Maeneo ni Mwenge, Survey, Mbezi Beach, Tegeta, Boko. Iwe sehemu yenye usalama na tulivu. Bei itategemea na ubora wa nyumba, ilipo na vitu vilivyomo. Kama una sehemu pia unaweza kuitoa kwa muda huo pls niandikie. Asanteni.

Duh .. nadhani J Makamba anajua nyumba zote tz zilipo..
 
Hehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.

Mgeni wako wa kike au wa kiume?
 
poa poa huyo mlokole hatonifaa kwenye mitegomitego yangu huyo mpeleke tu mbali huko
Mlokole mbona ndiye mzuri atakufundisha neno la Mungu ukikubali pia unaokoka!!!!! Kwa hali ya sasa huyo ndiye anaye kufaa!!!!

Kishasema anaweza akamzambisha. Sio vizuri kumpeleka kwake lol!
 
Back
Top Bottom