jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
ukipata mwingine wa kike niletee awe potable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na sebule. Sehemu ambayo mtu 1 anaweza kuishi vizuri bila muingiliano sana na wengine kama ina watu ndani ya yard. Maeneo ni Mwenge, Survey, Mbezi Beach, Tegeta, Boko. Iwe sehemu yenye usalama na tulivu. Bei itategemea na ubora wa nyumba, ilipo na vitu vilivyomo. Kama una sehemu pia unaweza kuitoa kwa muda huo pls niandikie. Asanteni.
Hehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.