Daah nilidhani nyumba ndogo ya malovee
loh
Ai wewe King Kong III, nimekuandikia toka jana ina maana hata in-box yako husomagi kaka? We kama una dili leta, tutaangalia kilicho bora zaidi ama sivyo?
kama wa kiume aje kwangu naishi mwenyewe nitampa rum yake sio tatizoHehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.
mmmh mlokole hatonifaa,nilidhani mwenzangu mwenzanguNi wa kiume tena Muchungaji Mulokole kama hutamzambisha poa.
poa poa huyo mlokole hatonifaa kwenye mitegomitego yangu huyo mpeleke tu mbali hukoHehehehe! Umenichekesha sana leo. Ngoja nikipata mwenzako mwenzako nitakuambiaga.
Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na sebule. Sehemu ambayo mtu 1 anaweza kuishi vizuri bila muingiliano sana na wengine kama ina watu ndani ya yard. Maeneo ni Mwenge, Survey, Mbezi Beach, Tegeta, Boko. Iwe sehemu yenye usalama na tulivu. Bei itategemea na ubora wa nyumba, ilipo na vitu vilivyomo. Kama una sehemu pia unaweza kuitoa kwa muda huo pls niandikie. Asanteni.
Hehehehe! Smile usinchekeshe. Nyumba ndogo ya malovee, small house au? Hapana, ni sehemu ya kuishi mgeni, ila isiwe guest house au kwenye gharama za kifisadi maana mie mwananchi wa kawaida tu.
Daah nilidhani nyumba ndogo ya malovee
loh
Mlokole mbona ndiye mzuri atakufundisha neno la Mungu ukikubali pia unaokoka!!!!! Kwa hali ya sasa huyo ndiye anaye kufaa!!!!poa poa huyo mlokole hatonifaa kwenye mitegomitego yangu huyo mpeleke tu mbali huko
nimeokoka mbona angalia matendo yanguMlokole mbona ndiye mzuri atakufundisha neno la Mungu ukikubali pia unaokoka!!!!! Kwa hali ya sasa huyo ndiye anaye kufaa!!!!