Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Kwa sababu ni tetesi sito kuwa na mengi ya kuongea bali ni kusema tusubiri ushahidi.
nime wahiLakini mkuu,hujawahi kuzisikia wewe?
Mbona ni kawaida hiyo..
Lakini mkuu,hujawahi kuzisikia wewe?
Kusikia tu itoshe? Mi nishawahi sikia nyoka chatu kameza Hiace includin 10 passengers on board!
Niliona aibu kuja kuuliza humu!
Haiyumkiniki.
Mbona ni kawaida hiyo..
mbona ni kawaida sana.....au tutaje....?
Nauliza, je na viongiz wanawake na wao huandaliwa wanaume wa kuliwaza wanapoenda safarini?
Nauliza, je na viongiz wanawake na wao huandaliwa wanaume wa kuliwaza wanapoenda safarini?
Bila shaka wewe ni kiongozi mwanamke!!:nono:......
Bila shaka wewe ni kiongozi mwanamke!!
:nono:......