Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unapoingia mlangoni na kuufunga mlango, ni sawa na kuingia kaburini na kujifukia.
Ndio maana asili ya viumbe hai, iwe wanyama n.k hawana nyumba zaidi ya kukaa na kuishi sehemu za wazi, na mwisho wao huwa ni kuoza ardhini.
Kwa sisi binadamu tukifa, ndio tunafukiwa kwenye makaburi ya chini ya ardhi ila tukiwa tunaishi huwa tunajificha kwenye makaburi ya juu ya ardhi (majengo).
Kwa mazingira hayo, kwa nini tusitumie nguvu nyingi kuwekeza kwenye makaburi ya chini ya ardhi kuliko kutumia nguvu nyingi kuwekeza kwenye makaburi ya juu ya ardhi yenye mfuniko wa mabati au vigae?