Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

Wee jamaaa itakua ndo wale Mashekh ambao saa 11 alfjiri huwa wanatupa vitisho..

""Shuka uliyojifunika ndo sanda yako...
Sijui nyumba ndo kaburi.. umo umo an ..""'
Ni kutishana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuona ukiwa umejifungia kwenye kaburi lililojengwa juu ya ardhi, likiwa na umeme ndani, kitanda, viti, masufuri πŸ˜€
 
Umaskini mbaya sana mtu maskini Huwa na vikihekima vya kijinga jinga vya kimaskini ambavyo yeye na maskini wenzie huona kama vihekima kumbe ujinga mtupu...
Watu wa kale hawakuishi kwenye makaburi yaliyojengwa juu ya ardhi, waliishi vichakani; sasa wewe endelea kujifungia kwenye hilo kaburi lenye umeme,vyombo, vitanda, makochi n.k
 
Wee jamaaa itakua ndo wale Mashekh ambao saa 11 alfjiri huwa wanatupa vitisho..

""Shuka uliyojifunika ndo sanda yako...
Sijui nyumba ndo kaburi.. umo umo an ..""'
Ni kutishana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bin Adam anatafakarisha Sana,mbuzi wake wakipotea anasikitika,,mimea shambani ikikauka anasikitika,umri unaenda hasikitiki.
 
Nina jirani yangu muhaya,akanisogezea mpaka hatua tatu kwa kuotesha miashoki nikamuita kiutu uzima bwana ndugu yangu naona kidogo ulipitiwa nataka niinue ukuta kwa hiyo fundi nimemuelekeza afuate alama ile pale (ipo kwenye maandishi na miaka yote ndiyo tunaitumia).

Nashangaa mwenzangu ananiambia tukutane mahakamani,nikajiuliza huyu mtu vipi?hatua tatu unakufa unaziacha hapo kesho na bado tupotezeane muda.
Dunia inahitaji tuishi kwa busara sana
 
Nyuz za hivi uletwa na wenye PhD

Ambao kimtaa tunachukulia wamesoma Sana mpk wamechanganyikiwaπŸ˜ƒ
PhD bila kuajiriwa unaona maisha magumu, sasa tufanyeje πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom